Sunday, June 17, 2012

GHANA AND ZANZIBAR HAVE ONE LINK IN COMMON


By Ali Haji Hamad, Pemba
Have you ever think that Zanzibar and Ghana have something  in common. Probable not - At a quick glance you may only notice differences . For example when you think of neighbouring sea Zanzibar is surrounded by Indian ocean but Ghana is neighbouring Pacific Ocean. In Zanzibar we export cloves but they export Cocoa. We are located at the Eastern part of  African Continent but Ghana is at the Western side. Nevertheless the truth is -we have something in common or let me say we are linked with at least  one historical thread. Pay look at the below photo.

"I have no doubt that you have started thinking of Forodhani".

 Kweli si umeena Mizinga. Any  way this is a photo taken from CapeCoast of Ghana from a Palace which had special place for keeping slaves.
For those people who had a chance to study history in their secondary education might be aware that  some of the slaves were taken from Zanzibar to CapeTown- South Africa and then CapeCoast in Ghana before being taken to America and elsewhere in Europe. Writings in this history shows vividly how Zanzibar and Ghana colonial rulers and slave traders were close allies at that time because of the trade.

Because in Zanzibar we had people who remained here just because slave trade brought them here from there original places - why don't we think of the possibility of Zanzibaries who remained in Ghana because of the same circumstances. One of my friend told me that in CapeTown their is a Community of Zanzibaries who were left there since those days of Ukoloni. Hao ni mbali ya hawa wa Zanzibari wachakachuaji wa siku hizi wanaozamia.
see more photos
Palace
Chumba cha wanaumeeee

Cape Coast Palace iliojumuisha pia "hifadhi" ya Utumwa

watalii wakisikiliza kwa makini na huzuni historia ya biashara ya utumwa

Adui alitarajiwa kutokea pwani na hivyo mizinga ilielekezwa huko

window to see
Nilikwisha sahau. Kumbe kuna minazi mingii na mizuri kama ya kwetuu vile hebu ona.


UTALII WA MISITU GHANA

Na Ali Haji Hamad, Pemba

Mapato katika Sekta ya Utalii hayaletwi na kuwa na vivutio vizuri na vingi pekee bali huletwa na ubunifu wa kuvifanya vivutio hivyo viwe vinavutia zaidi au hata visivyo vivutio basi vivutie. Hebu angalia ubunifu huu uliefanywa na Swahiba zetu wa Ghana katika msitu wao huu wa.KAKUM ulioko Kusini mwa Ghana.  Kimsingi huu msitu has nothing special to offer. Ni msitu tu kama ilivyo misitu yetu kama Ngezi au Msitu mkuu wa Micheweni .

"Bora hata Jonzani angalau kuna Vima Punju."
 Msitu wa KAKUM wenyewe una miti mirefu tu na Bonde moja liloko deep sana. Katika kuutembelea sikuwahi kuona hata karakaka sikwambii sikwambii nyoka au myama mwengine. Ila kwa ubunifu wao wameweza kuufanya msitu huu kuwa kivutio kikubwa kwa kutengeneza hiii hanging trail juu ya vilele vya miti. Ni mita kama mia saba hivi za kutembea katika hatari, woga na kiwewe lakini zinapokamilika kila mtalii anafurahi na kumuhadithia mwenzie. Ni hilo tu linalowafanya watalii wamiminike hukoo.
Sasa wa Zanzibar tunajitapa uchumi wetu unategemea utalii tumebuni nini la kuwavuta watu kutumia pesa zaidi.

Karibu KAKUM forest

Wageni wanaotembelea msitu wa KAKUM Ghana wakiwa katika hanging trail

Niliamua nami nijaribu japo kwa khofu kubwa 

Saturday, June 2, 2012

CLIMATE CHANGE AND COASTAL EROSION IN PEMBA ISLAND
By Ali Haji Hamad, Pemba.

To the world Climate change is almost a house hold terminology but not to the residents of Pemba Island, Zanzibar. Most of them do not understand its meaning, causes or impact. However the ignorance of these residents has not spared them from the effects of this calamity. The vivid effects is seen along the cost of the island whereby the rise of see water has affected the sea shores,  nearby rice farms and people residents.

Please watch the attached two minutes Video from the island.


Tanzania, Zambia zagaragazwa katika mechi za awali
Na Ali Haji Hamad
Pale kinaporoa kilemba ni muhali kwa mkuti kusalimika
Ndivyo wanavyoamini Waswahili wa Pwani. Usemi huu ulidhihirika leo katika mechi za kuwania kufuzu kucheza kumbe la Dunia huko Brazil mwaka 2014. Katika siku ambayo mabingwa wa Afrika Zambia imelala bao 2-0 mbele ya Waarabu wa Sudan kaika mechi ya kundi D, ilikuwa muhali kwa Tanzania nayo kustahimili wimbi hilo kubwa na hivyo yenyewe ikajikuta ikisalima amri mbele ya Ivory Coast kwa bao 2- 0 katika mechi ya kundi C huko Abidjan.  Ushindi huu ni mwanzo mbaya kwa timu hizi zote mbili ambazo zilionekana kupania kutaka kuvuka mabara kwenda Kusini mwa Amerika hapo 2014.

Timu nyengine zilizoanguka ni  Congo DR mbele ya Cameroon iliyochapwa 1-0 katika mechi za kundi H na Botswana mbele ya Afrika ya Kati iliyogaragazwa 2-0 kwenye mechi ya kundi A. Nyengine ni Guinea ya Ikweta iliyochapwa 3-1 na Tunisia  na Liberia iliyochakazwa kwa bao 3-1na Senegal katka mechi ya kundi J.
Sambamba na matokeo hayo kulikuwa na matokeo ya sare ya bila kufungana katika mchezo kati ya Kenya na Malawi   kundi F na Gambia na Morroco ziliotoka sare ya 1-1 katika mechi za kundi C. Bukinafaso na Congo nazo ziliishia suluhu ya 0-0 kundi E.