![]() |
Waliopo pichani ni wafanyakazi wa Radio Jamii Micheweni wakiwa katika mafunzo ya ICT and Radio Production. Katikati ni mkufunzi wa mafunzo hayo Ali Haji Mwadini. Picha zote na Ali Haji Hamad |
![]() |
Kazi za vikundi zinaendelea kujifunza Editing |
![]() |
Kazi za vikundi hapa zinaendelea . Mwenye kofia ni mkufunzi Ali Mbarouk Omar |
No comments:
Post a Comment